Rudi kwenye Habari
Habari Miundombinu October 1, 2026

Maandalizi ya Mvua za "EL NINO"

I

Ibrahim Admin

Mwandishi

Maandalizi ya Mvua za "EL NINO"

Mwendelezo wa Ziara ya Mh. Mahfoudh Abdalla Mohammed Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Kukagua changamoto za Maji Akishirikiana pamoja na Wajumbe kutoka Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA).

Picha za Nyongeza

Gallery image 1
Gallery image 2