Rudi kwenye Habari
Habari Mazingira May 29, 2026

Mapokezi ya kitabu cha miaka 40 ya NEMC

I

Ibrahim Admin

Mwandishi

Mapokezi ya kitabu cha miaka 40 ya NEMC

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (kulia) akipokea kitabu cha miaka 40 ya NEMC kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni mara baada ya kukizindua katika kilele cha hafla ya Maadhimisho ya Miaka 40 ya NEMC iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Mei 29 2026.