Habari
Mazingira
September 24, 2026
Maandalizi ya Mvua za "EL NINO"
I
Ibrahim Admin
Mwandishi
Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mhe. Mahfoudh Abdalla Mohammed, Amefanya Kikao Kazi na Masheha pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Jimbo la Magomeni na Baadhi ya Viongozi wa Dini.
Shiriki Habari Hii