Rudi kwenye Habari
Mradi May 30, 2026

Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Magomeni

I

Ibrahim Admin

Mwandishi

Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Magomeni

Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mhe. Mahfoudh Abdalla Mohammed, Amefanya Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo M - 3 katika Jimbo la Magomeni Mgeni Rasmi: Khamis Hamza Chilo, na Kuwakabidhi baadhi ya Wanachi vifaa mbali mbali vya Kujiendeleza katika Biashara zao na Kutoka Mikopo ya Boda Boda ili Kujikwamua katika hali ya umaskini.

Picha za Nyongeza

Gallery image 1
Gallery image 2
Gallery image 3
Gallery image 4

Habari Zinazohusiana

Maandalizi ya Mvua za "EL NINO"
Habari

Maandalizi ya Mvua za "EL NINO"

Mhe. Mahfoudh Abdalla Mohamed Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni.

September 29, 2026 Soma Zaidi