Habari
Mazingira
September 28, 2026
Maandalizi ya Mvua za "EL NINO"
I
Ibrahim Admin
Mwandishi
Mwendelezo wa Ziara ya Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mhe. Mahfoudh Abdalla Mohammed Kukagua Vizimba vya Taka na Sehemu Hatarishi ya Makaazi ya Watu kuelekea katika Mvua za "EL NINO" Zinazotarajiwa Kunyesha hapo Mbeleni.
Shiriki Habari Hii